Wakiongozwa na daktari wa mifugo, wakulima wa Githunguri walijifunza mbinu muhimu za kuzuia mastitis
Posted on 07/18/2025
|
Wakiongozwa na daktari wa mifugo, wakulima wa Githunguri walijifunza mbinu muhimu za kuzuia mastitis (uchungu wa kiwele) na umuhimu wa kutumia Sawa Milking Jelly kwa afya bora ya ng’ombe. #SawaMilkingJelly #HapoSawa