Kumjua Mungu | Yohana 17:3 | Uchambuzi wa Biblia 10/04/2026

Posted on 04/11/2026
|

Je, kweli unamjua Mungu?

Katika somo hili tunajifunza kuwa Mungu anatamani kuwa na uhusiano wa karibu nasi, na amejifunua kikamilifu kupitia Yesu Kristo. Kumjua Mungu si kusikia tu habari zake, bali ni kuwa na uhusiano wa binafsi naye.

📖 Ujumbe Mkuu:
Kumjua Mungu ni msingi wa imani na maisha ya Kikristo.

💬 Tuambie: Unamjuaje Mungu katika maisha yako?

👍 Like | 🔁 Share | 🔔 Subscribe kwa Uchambuzi wa Biblia