Kufuatia mabadiliko ya tabianchi ambayo yanakumba sehemu tofauti hapa nchini, baadhi ya vijana mjini Voi kaunti ya Taita Taveta wamekumbatia shughuli ya upanzi wa miti
Vijana wajihusisha na upanzi wa miti maeneo karibu na mito huko Voi
Posted on 07/18/2025
|