Korti kuamua kuhusu hatma ya shamba la lower kuja linalozozaniwa

Posted on 07/18/2025
|

Kikao cha mahakama kimeanza mchakato wa kuamua hatima ya familia 53 zilizohamishwa wakati wa utekelezaji wa Mradi wa unyunyizaji maji katika eneo la Lower Kuja