Wakaaji wa Eneo la Kimongoro, Eneobunge la Igembe Kusini kaunti ya Meru, Walionufaika na Mradi wa TWENDE, Unaolenga kupigana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuinua jamii kimapato, Wameeleza mafanikio katika kurejesha Mazingira na kuwainua wanajamii kupitia upanzi wa Miche ya matunda, miti ya kitamaduni pamoja na Masomo ya Njia bora za kuhifadhi Mazingira manyumbani mwao
Mradi wa kuhifadhi mazingira unahusu upanzi wa miche
Posted on 07/18/2025
|