Wachuuzi Garissa walioathirika wapewa vifaa vya kujenga upya

Posted on 07/18/2025
|

Ni afueni kwa wafanyibiashara wa soko kuu la Garissa walioathirika na mkasa wa moto hivi majuzi baada ya Waziri wa afya Aden Duale kutoa msaada wa mabati 1000 pamoja na toroli 170 ya kuwezesha wafanyibiashara hao kurejea katika hali yao ya kawaida