Wakulima Busia wahimizwa kuchangamkia kilimo cha soya

Posted on 07/18/2025
|

Wakulima kote nchini wamehimizwa kuchangamkia kilimo cha soya ili kukabili uhaba mkubwa wa zao hilo, ambao kwa sasa unasababisha Kenya kutegemea uagizaji kutoka mataifa jirani kama Uganda na Zambia