Afisa mkuu mtendaji wa shirika la afya la Shalina nchini Kenya ameitaka serikali kuimarisha hatua kali kwa watengenezaji bidhaa za matibabu kama dawa za ili kukabiliana na bidhaa ghushi za dawa. Huku maadhimisho miaka 100 ya kuwepo ka bidhaa ya matibabu ya Kaluma, afisa mkuu huyo alisisitiza umuhimu wa kushirikiana na serikali katika kuhakikisha kuwa bidhaa za matibabu zinatengezwa kwa bei nafuu
Watengezaji dawa wataka serikali ipunguze gharama
Posted on 07/18/2025
|