Viongozi wa Kidini walaumu wanasiasa kwa kuchochea siasa

Posted on 07/18/2025
|

Viongozi wa kanisa kutoka eneo la Rongai kajiado kaskazini wameeleza kutoridhishwa na mwelekeo wa nchi katika siasa,haswa katika matukio ya hivi karibuni ya viongozi kutupiana cheche za maneno na kunyosheana kidole cha lawama ,huku wakieleza kuwa kanisa lina jukumu kubwa katika kuhakikisha kuwa kuna
amani na maelewano nchini