kutojua kusoma na kuandika kumewaponza watu wengi kaunti ya Kaskazini Mashariki

Posted on 07/18/2025
|

Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu KNCHR imetaja viwango vya juu vya kutojua kusoma na kuandika katika kaunti za Kaskazini Mashariki kama kizingiti kikuu cha wenyeji kufahamu haki zao