Watu wenye ulemavu kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya wanalalamika kuwa wametengwa kwa muda mrefu na serikali.
Wakizungumza wakati wa mkutano wao, viongozi wa walemavu wamemrai rais william ruto kumteua mmoja wao kuwa mwakilishi wa ukanda huo katika serikali. Wakimpigia debe kiongozi wao Hafid Maalim Ibrahim, wanasema kuwa uteuzi huo utahakikisha uwakilishi wa maana na ushirikishwaji katika maamuzi muhimu ya kitaifa.