Mafuriko yaathiri baadhi ya barabara za Mombasa

Posted on 04/22/2026
|

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imekuwa kero kwa wakazi wa Mombasa. Baadhi ya barabara na makazi zimeathirika hasa maeneo ya Nyali Kisauni na Likoni.