Baraza la kitaifa la watu wanaoishi na ulemavu (NCPWD) katika kaunti ya Kwale limeonya wazazi na walezi dhidi ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, likisema hatua hiyo ni kinyume cha sheria na haki za binadamu
Wazazi wamehimizwa kutowaficha watoto walemavu
Posted on 07/18/2025
|